Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 7:3-4

1 Wakorintho 7:3-4 BHN

Mume atimize wajibu alio nao kwa mkewe, naye mke atimize wajibu alio nao kwa mumewe. Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 7:3-4