1 Samueli 2:2
1 Samueli 2:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna ye yote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama BWANA, hakuna mwingine zaidi yako; hakuna Mwamba kama Mungu wetu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2