1 Samueli 2:3
1 Samueli 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Acheni kujisifu, acheni kusema ufidhuli. Maana ajuaye ni Mwenyezi-Mungu. Yeye huyapima matendo yote.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo; Majivuno yasitoke vinywani mwenu; Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa maarifa, Naye huyapima matendo kwa mizani.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2