1 Samueli 2:8
1 Samueli 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwainua maskini toka mavumbini; huwanyanyua wahitaji toka majivuni, akawaketisha pamoja na wakuu, na kuwarithisha viti vya heshima. Maana, minara ya dunia ni ya Mwenyezi-Mungu; yeye ameisimika dunia juu ya minara yake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 21 Samueli 2:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu; Kwa maana nguzo za dunia zina BWANA, Naye ameuweka ulimwengu juu yake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 2