2 Mambo ya Nyakati 26:16
2 Mambo ya Nyakati 26:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mfalme Uzia alipokuwa na nguvu, alijaa kiburi ambacho kilisababisha maangamizi yake. Alimwasi Mwenyezi-Mungu, Mungu wake kwa kuingia hekaluni akikusudia kufukiza ubani madhabahuni.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 262 Mambo ya Nyakati 26:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini alipokuwa na nguvu, moyo wake ulitukuka, hata akafanya maovu, akamwasi BWANA, Mungu wake; kwani aliingia hekaluni mwa BWANA, ili afukize uvumba juu ya madhabahu ya kufukizia.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 26