2 Wakorintho 6:14
2 Wakorintho 6:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6