2 Samueli 1:26 - Linganisha Matoleo Yote
2 Samueli 1:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Nasikitika kwa ajili yako, ndugu yangu Yonathani. Umekuwa kwangu daima mtu wa kupendeza, pendo lako kwangu limekuwa la ajabu, la ajabu kuliko la mwanamke.
Shirikisha
2 Samueli 1 BHN2 Samueli 1:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.
Shirikisha
2 Samueli 1 SUV2 Samueli 1:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.
Shirikisha
2 Samueli 1 SRUV2 Samueli 1:26 NEN (Neno)
Nahuzunika kwa ajili yako, Yonathani ndugu yangu, kwangu ulikuwa mpendwa sana. Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, wa ajabu kuliko ule wa wanawake.
Shirikisha
2 Samueli 1 NEN