2 Timotheo 1:12
2 Timotheo 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
nami nateseka kwa mambo haya kwa sababu hiyo. Lakini niko bado timamu kabisa kwani namjua yule niliyemwamini, tena nina hakika kwamba yeye atakilinda salama kile alichonikabidhi, mpaka siku ile.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo nimepatikana na mateso haya, lakini sitahayari; kwa maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hata siku ile.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1