Matendo 26:16
Matendo 26:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Haidhuru, inuka sasa; simama wima. Nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. Utawathibitishia watu wengine mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonesha.
Shirikisha
Soma Matendo 26Matendo 26:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako
Shirikisha
Soma Matendo 26