Matendo 4:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 4:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
Shirikisha
Matendo 4 BHNMatendo 4:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Shirikisha
Matendo 4 SUVMatendo 4:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.
Shirikisha
Matendo 4 SRUVMatendo 4:6 NEN (Neno)
Walikuwemo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.
Shirikisha
Matendo 4 NEN