Kumbukumbu la Sheria 1:11
Kumbukumbu la Sheria 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, na awafanye mzidi kuongezeka mara elfu zaidi ya mlivyo sasa na kuwabariki kama alivyoahidi!
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 1Kumbukumbu la Sheria 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, Mungu wa baba zenu, na awafanye kuwa wengi mara elfu kuliko mlivyo, na kuwabariki, kama alivyowaahidi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 1