Kumbukumbu la Sheria 1:8
Kumbukumbu la Sheria 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nchi hii yote nimeiweka mbele yenu. Basi, nendeni mkaimiliki nchi hiyo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu niliapa kuwapa wazee wenu Abrahamu, Isaka, Yakobo na wazawa wao.’”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 1Kumbukumbu la Sheria 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni, nimewawekea nchi mbele yenu, ingieni mkaimiliki nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kwamba atawapa na uzao wao baada yao.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 1