Kumbukumbu la Sheria 10:17
Kumbukumbu la Sheria 10:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10Kumbukumbu la Sheria 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana. Yeye ni Mungu mkuu na mwenye nguvu, na wa kuogofya; hapendelei wala hapokei rushwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10