Kumbukumbu la Sheria 10:20
Kumbukumbu la Sheria 10:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mche BWANA Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10Kumbukumbu la Sheria 10:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mcheni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; mtumikieni; ambataneni naye na kuapa kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10