Kumbukumbu la Sheria 10:21
Kumbukumbu la Sheria 10:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye ni fahari yenu; ndiye Mungu wenu ambaye amewatendea haya mambo makubwa na ya kutisha mliyoyaona kwa macho yenu wenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10Kumbukumbu la Sheria 10:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye ndiye fahari yako, na yeye ndiye Mungu wako, aliyekutendea mambo haya makubwa, ya kutisha, uliyoyaona kwa macho yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 10