Kumbukumbu la Sheria 2:7
Kumbukumbu la Sheria 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, kumbukeni jinsi Mwenyezi-Mungu Mungu wenu alivyowabariki katika kila jambo mlilofanya. Aliwatunza mlipokuwa mnatangatanga katika jangwa hili kubwa. Amekuwa pamoja nanyi miaka hii yote arubaini na hamkupungukiwa kitu chochote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 2Kumbukumbu la Sheria 2:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA Mungu wenu amewabariki kwa kazi yote ya mikono yenu. Amewalinda katika safari yenu katikati ya jangwa hili kubwa. Kwa miaka hii arobaini BWANA Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamkupungukiwa na kitu chochote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 2