Kumbukumbu la Sheria 5:11
Kumbukumbu la Sheria 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“ ‘Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; maana mimi ni Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu yeyote afanyaye hivyo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usilitaje bure Jina la BWANA, Mungu wako; maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5