Kumbukumbu la Sheria 5:15
Kumbukumbu la Sheria 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Usisahau kwamba wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, nami Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, nikakutoa huko kwa mkono wenye nguvu na mkono ulionyoshwa; ndiyo maana mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako nimekuamuru kuiadhimisha siku ya Sabato.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa BWANA, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5