Kumbukumbu la Sheria 5:21
Kumbukumbu la Sheria 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)
“ ‘Usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba yake, wala shamba lake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu chochote alicho nacho jirani yako.’
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu chochote alicho nacho jirani yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5