Mhubiri 12:13-14
Mhubiri 12:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12Mhubiri 12:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya hayo yote yaliyokwisha semwa bado kuna hili linalotakiwa: Mche Mungu, na uzishike amri zake; kwa sababu hilo ndilo jukumu aliloumbiwa binadamu. Maana, Mungu atahukumu matendo yetu yote, hata yale yanayotendwa kwa siri, yawe mema au mabaya.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12Mhubiri 12:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12