Waefeso 5:1-2
Waefeso 5:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, mwigeni Mungu, maana nyinyi ni watoto wake wapenzi. Upendo uongoze maisha yenu kama vile Kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama tambiko yenye harufu nzuri na sadaka impendezayo Mungu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivyo mwigeni Mungu, kama watoto wanaopendwa; mkaende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hivyo mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa; mkaenende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato.
Shirikisha
Soma Waefeso 5