Waefeso 5:15-16
Waefeso 5:15-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.
Shirikisha
Soma Waefeso 5