Waefeso 5:23 - Linganisha Matoleo Yote
Waefeso 5:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa; naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake.
Shirikisha
Waefeso 5 BHNWaefeso 5:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Shirikisha
Waefeso 5 SUVWaefeso 5:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Shirikisha
Waefeso 5 SRUVWaefeso 5:23 NEN (Neno)
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.
Shirikisha
Waefeso 5 NEN