Waefeso 5:25
Waefeso 5:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 5