Waefeso 5:33
Waefeso 5:33 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini yanawahusu nyinyi pia: Kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.
Shirikisha
Soma Waefeso 5