Mwanzo 26:3
Mwanzo 26:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kaa katika nchi hii kwa kitambo, mimi nitakuwa pamoja na wewe na nitakubariki. Kwa maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote na nitatimiza kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa nawe na kukubariki. Nitatimiza ahadi niliyompa baba yako Abrahamu, kwani nitakupa wewe na wazawa wako nchi hizi zote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26