Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 26:3

Mwanzo 26:3 NEN

Kaa katika nchi hii kwa kitambo, mimi nitakuwa pamoja na wewe na nitakubariki. Kwa maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote na nitatimiza kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 26:3