Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 26:3

Mwa 26:3 SUV

Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako.

Soma Mwa 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 26:3