Mwanzo 42:21
Mwanzo 42:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha wakasemezana wao kwa wao, “Kweli sisi tulimkosea ndugu yetu. Ingawa tulimwona akisononeka rohoni mwake, sisi hatukumjali hata alipotusihi. Ndiyo maana taabu hii yote inatupata.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 42Mwanzo 42:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakaambiana wao kwa wao, “Hakika tunaadhibiwa kwa sababu ya ndugu yetu. Tuliona jinsi alivyohuzunika alipokuwa anatusihi kuponya maisha yake, lakini hatukumsikiliza, hiyo ndiyo sababu dhiki hii imetupata.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 42