Waebrania 4:15
Waebrania 4:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyu Kuhani Mkuu wetu anaelewa kabisa unyonge wetu; yeye mwenyewe alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.
Shirikisha
Soma Waebrania 4