Waebrania 4:16
Waebrania 4:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, na tukikaribie bila hofu kiti cha enzi cha Mungu mwenye neema, tupokee huruma na neema ya kutusaidia wakati wa shida.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.
Shirikisha
Soma Waebrania 4