Waebrania 8:1
Waebrania 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jambo muhimu katika hayo tunayosema ni hili: Sisi tunaye kuhani mkuu wa namna hiyo, ambaye anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha Mkuu mbinguni.
Shirikisha
Soma Waebrania 8Waebrania 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni
Shirikisha
Soma Waebrania 8