Waebrania 8:11
Waebrania 8:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
Shirikisha
Soma Waebrania 8Waebrania 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna atakayemfundisha mwananchi mwenzake, wala atakayemwambia ndugu yake: ‘Mjue Bwana’. Maana wote, wadogo na wakubwa, watanijua mimi.
Shirikisha
Soma Waebrania 8