Waebrania 8:8
Waebrania 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu aliwalaumu watu wake aliposema: “Siku zinakuja, asema Bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa Israeli na wa Yuda.
Shirikisha
Soma Waebrania 8Waebrania 8:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, anapowalaumu, asema, Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya
Shirikisha
Soma Waebrania 8