Hosea 10:12
Hosea 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Pandeni wema kwa faida yenu, nanyi mtavuna upendo; limeni mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefika nami nitawanyeshea baraka.
Shirikisha
Soma Hosea 10Hosea 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta BWANA, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.
Shirikisha
Soma Hosea 10