Hosea 10:13
Hosea 10:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi mmepanda uovu, nyinyi mmevuna dhuluma; mmekula matunda ya uongo wenu. Wewe Israeli ulitegemea nguvu zako mwenyewe, na wingi wa askari wako.
Shirikisha
Soma Hosea 10Hosea 10:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mmelima dhuluma, mmevuna uovu; mmekula matunda ya uongo; kwa maana uliitumainia njia yako, na wingi wa mashujaa wako.
Shirikisha
Soma Hosea 10