Hosea 11:4
Hosea 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwaongoza kwa kamba za huruma naam, kwa kamba za upendo; kama baba amwinuaye mtoto mpaka shavuni mwake, ndivyo nami nilivyokuwa kwao. Mimi niliinama chini na kuwalisha.
Shirikisha
Soma Hosea 11Hosea 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niliwavuta kwa kamba za kibinadamu, kwa mafungo ya upendo; nami nilikuwa kwao kama hao waondoao kongwa tayani mwao, nikaandaa chakula mbele yao.
Shirikisha
Soma Hosea 11