Hosea 6:3
Hosea 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi tumtambue, tujitahidi kumjua Mwenyezi-Mungu. Kuja kwake ni hakika kama alfajiri, yeye atatujia kama manyunyu, kama mvua za masika ziinyweshayo ardhi.’”
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nasi na tujue, naam, tukaendelee kumjua BWANA; kutokea kwake ni yakini kama asubuhi; naye atatujia kama mvua, kama mvua ya vuli iinyweshayo nchi.
Shirikisha
Soma Hosea 6