Hosea 6:6
Hosea 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, kumkubali Mungu zaidi kuliko sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Hosea 6