Isaya 35:3-4
Isaya 35:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yaimarisheni magoti yaliyolegea. Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi.
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea. Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi.
Shirikisha
Soma Isaya 35