Isaya 35:6
Isaya 35:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo mtu aliye kilema ataruka-ruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 35