Isaya 35:8
Isaya 35:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Humo kutakuwa na barabara kuu, nayo itaitwa “Njia Takatifu.” Watu najisi hawatapitia humo, ila tu watu wake Mungu; wapumbavu hawatadiriki kuikanyaga
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.
Shirikisha
Soma Isaya 35