Isaya 38:17
Isaya 38:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipata mateso makali kwa faida yangu; lakini umeyaokoa maisha yangu kutoka shimo la uharibifu, maana umezitupa dhambi zangu nyuma yako.
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama; nilikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu; Lakini kwa kunipenda umeniokoa kutoka kwa shimo la uharibifu; Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.
Shirikisha
Soma Isaya 38