Isaya 38:3
Isaya 38:3 Biblia Habari Njema (BHN)
akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi ukumbuke jinsi nilivyokutumikia kwa uaminifu na kwa moyo wangu wote, na kutenda yaliyo sawa mbele yako.” Hezekia akalia kwa uchungu sana.
Shirikisha
Soma Isaya 38Isaya 38:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Ee BWANA, kumbuka haya, nakusihi, kwamba nimekwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia kwa uchungu.
Shirikisha
Soma Isaya 38