Isaya 52:13
Isaya 52:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu asema hivi: “Mtumishi wangu atafanikiwa; atatukuzwa na kupewa cheo, atapata heshima kuu.
Shirikisha
Soma Isaya 52Isaya 52:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Shirikisha
Soma Isaya 52