Isaya 52:7
Isaya 52:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Tazama inavyopendeza kumwona mjumbe akitokea mlimani, ambaye anatangaza amani, ambaye analeta habari njema, na kutangaza ukombozi! Anauambia mji wa Siyoni: “Mungu wako anatawala!”
Shirikisha
Soma Isaya 52Isaya 52:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi ilivyo mizuri juu ya milima Miguu yake aletaye habari njema, Yeye aitangazaye amani, Aletaye habari njema ya mambo mema, Yeye autangazaye wokovu, Auambiaye Sayuni, Mungu wako anamiliki!
Shirikisha
Soma Isaya 52