Isaya 53:3
Isaya 53:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Alidharauliwa na kukataliwa na watu, alikuwa mtu wa uchungu na huzuni. Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu; alidharauliwa na tukamwona si kitu.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Shirikisha
Soma Isaya 53