Isaya 55:11
Isaya 55:11 Biblia Habari Njema (BHN)
vivyo hivyo na neno langu mimi: Halitanirudia bila mafanikio, bali litatekeleza matakwa yangu, litafanikiwa lengo nililoliwekea.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Shirikisha
Soma Isaya 55