Isaya 55:7
Isaya 55:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu mwovu na aiache njia yake, na mtu mbaya na ayaache mawazo yake. Yeye na amrudie BWANA, naye atamrehemu, arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Waovu na waache njia zao mbaya, watu wabaya waachane na mawazo yao mabaya; wamrudie Mwenyezi-Mungu apate kuwahurumia, wamwendee Mungu wetu maana atawasamehe.
Shirikisha
Soma Isaya 55