Isaya 55:9
Isaya 55:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile mbingu zilivyo mbali na dunia, ndivyo njia zangu zilivyo mbali na zenu, na mawazo yangu mbali na mawazo yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 55